- 1,650 viewsDuration: 2:22Vijana watatu mjini Diani kaunti ya Kwale wamejisalimisha kwa maafisa wa polisi baada ya kuasi uhalifu wa makundi ya vijana ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi almaarufu kama Panga Boys. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya