19 Jun 2026 1:15 pm | Citizen TV 1,092 views Duration: 2:13 Vyombo vya usalama katika mji wa Nanyuki, Kaunti ya Laikipia, vyandaa kikao na vijana katika mtaa wa Likii, kwa lengo la kuzuia maafa na uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya umma.