Skip to main content
Skip to main content

Vijana kutoka Laisamis walilia haki baada ya mifugo wao kuuawa

  • | NTV Video
    371 views
    Duration: 2:09
    Wakazi hususan vijana kutoka Laisamis wanaoishi Nairobi wameshutumu kisa ambapo mifugo wao waliuawa na watu waliokuwa na silaha hapo juzi katika kijiji cha Kambinye katika kaunti ya Marasabit. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya