- 261 viewsDuration: 1:33Vijana kutoka pwani wametakiwa kukumbatia mafunzo ya taaluma tofauti katika taasisi za kiufundi ili kukabiliana na ongezeko la uhalifu na ukosefu wa kazi ambao umetajwa kuchangia kwa kuchipuka kwa magenge hasa kaunti za mombasa na kwale.