- 39 viewsDuration: 3:18Vijana wamehimizwa kujiepusha na visa vya uhuni kwa vile wao ndio tegemeo la familia zao katika siku zijazo. Akiongea huko Kitale wakati wa ufunguzi wa hafla ya uashauri wa umma ya siku mbili,kamishna wa tume ya uchaguzi Alutalala Mukhwana alitahadharisha kuwa uchaguzi mkuu huenda ukaathirika pakubwa endapo ghasia za kisiasa zitaendelea kushuhudiwa nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive