Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahimizwa kupata ujuzi wa ufundi na kujiepusha na mawakala feki wa ajira nje ya nchi

  • | Citizen TV
    564 views
    Duration: 3:15
    Vijana wa kenya wanaotafuta ajira nje ya nchi wametakiwa kujipatia ujuzi wa ufundi unaohitajika katika soko la ajira la kimataifa, huku wakitahadharishwa dhidi ya mawakala feki wa ajira za nje wanaowahadaa kupitia mitandao ya kijamii.