- 316 viewsDuration: 3:03Katibu wa turathi na utamaduni nchini Ummi Bashir, ametoa changamoto Kwa vijana wenye vipaji vya uimbaji kuvitumia kupata riziki badala ya kulalamikia ukosefu wa ajira nchini. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.