5 Sep 2025 10:52 am | Citizen TV 234 views Duration: 1:16 Baadhi ya vijana kutoka kaunti ya nyamira wamewasilisha hoja katika tume ya kupambana na ufisadi wakitaka gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo achungunzwe kwa madai ya ufisadi