2 Nov 2026 10:14 am | Citizen TV 1,852 views Duration: 1:36 Viongozi katika kaunti ya kericho wanamtaka Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi Mohammed Amin, kuchukua hatua dhidi ya maafisa wa idara hiyo ambao wanadaiwa kushirikiana na wahalifu.