Skip to main content
Skip to main content

Viongozi mbalimbali kutoka kaunti ya Homa Bay wakemea wahuni na polisi wanaozembea kazini

  • | Citizen TV
    3,916 views
    Duration: 3:07
    Viongozi mbalimbali kutoka kaunti ya Homa Bay wanazidi kukemea visa vya ghasia vinavyozidi kushuhudiwa kwenye mikutano za siasa humu nchini. Viongozi hao wanawalaumu vijana wanaokubali kutumiwa kuzua vurugu pamoja na maafisa wa usalama wanaovalia miwani uhalifu huo.