Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Taita Taveta wasema elimu ya mama ni muhimu

  • | Citizen TV
    237 views
    Duration: 1:46
    Kuna haja kwa serikali ya kitaifa na zile za kaunti kuangazia namna ya kuimarisha lugha ya mama hasa katika shule za chekechea. Gavana wa Taita Taveta Andrew Mwadime anasema lugha hizo asilia zina mchango mkubwa katika kukuza utamaduni wa jamii tofauti hapa nchini