- 2,959 viewsDuration: 2:34Viongozi wa dini ya Kiislamu na wazee kutoka jamii za Oromo na Somali katika kaunti ya Isiolo wanatoa wito kwa Rais William Ruto na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kuingilia kati na kumaliza mzozo kati ya jamii zao nchini Ethiopia. Viongozi hao wanaonya kuwa mapigano hayo yanaweza kuenea hadi Kenya, na kuhatarisha amani, usafiri na biashara.