Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wakosoa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25

  • | Citizen TV
    1,297 views
    Duration: 2:07
    Kenya Kwanza wamekashifu mipango ya maandamano yaliyopangwa Alhamisi ijayo kama sehemu ya kumbukumbu ya maandamano ya Gen Z ya Juni 25. Wakizungumza katika maeneo tofauti ya Kakamega na Kericho, viongozi hao wamemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kuchukua hatua kali dhidi ya watakaokiuka sheria na kushiriki katika vurugu. Wamesema maandamano yoyote yanapaswa kufanyika kwa njia ya amani na kuonya dhidi ya matumizi ya maandamano kama chanzo cha kuvunja sheria na kutatiza usalama wa umma. Maryanne Nyambura anaripoti zaidi kuhusu siasa za Kenya Kwanza.