Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wampigia debe Ruto Bungoma

  • | Citizen TV
    402 views
    Duration: 1:02
    Viongozi wa Kenya Kwanza wamempigia debe Rais William Ruto na kuwataka wenyeji wa Bungoma kumchagua kwa muhula wa pili. Viongozi hao aidha wamewakosoa viongozi wa upinzani kwa kuwapotosha Wakenya na kueneza siasa za chuki.