- 3,059 viewsDuration: 2:40Viongozi wanaounga mkono serikali sasa wanasema kiongozi wa Wiper alipangiwa na wenzake wa upinzani kudhalilishwa katika hafla ya Linda Mwananchi jijini Nairobi. Wakizungumza maeneo tofauti nchini, viongozi hao wamemrai Kalonzo kuungana na serikali ili asikosewe heshima. Hayo yamejiri huku wandani hawa wa Rais William Ruto wakimpigia debe kwa muhula mwingine kwenye hafla mbalimbali Narok na Magharibi mwa Kenya. Chrispine Otieno anaarifu.