- 874 viewsDuration: 4:05Viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza waendelea kuwaonya wanaopanga kuzua vurugu wakati wa maadhimisho ya kuwakumbuka vijana waliouawa katika maandamano ya Gen Z ya mwaka 2024. Wakizungumza katika maeneo ya Kilgoris na Baringo kaunti, viongozi hao walisema vyombo vya usalama vitahakikisha hakuna wahalifu watakaoruhusiwa kuvuruga amani au kuzua rabsha wakati wa shughuli za Alhamisi.