Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wapuuza azma ya Sifuna kuwania urais

  • | Citizen TV
    2,716 views
    Duration: 1:29
    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kupuuza azma ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza kwenye mikutano tofauti kaunti za Bungoma na Busia, wandani hawa wa Rais wakiongozwa na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi na Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula, wamewataka watu wa Magharibi mwa Kenya kutohadaiwa na viongozi wasiokuwa na uzoefu na kuwataka kuunga azma ya Rais William Ruto kurejea Ikulu mwaka ujao.