9 Nov 2026 1:47 pm | Citizen TV 3,056 views Duration: 2:10 Viongozi wanaoegemea Serikali jumuishi kutoka kaunti ya Kisii na Nyamira wameelezea uamuzi wao wa kumpigia Debe Rais William Ruto katika azma yake ya kutwa uongozi wa taifa kwa awamu ya pili.