- 301 viewsDuration: 1:57Viongozi wa KNUT na KUPPET kutoka kaunti ya Bomet wapinga kuhamishwa kwa katibu Bitok kutoka wizara ya elimu huku wakidai kuwa kuna mengi ya kufanywa ili kumaliza machafuko yanayoenedelea shuleni.Katibu wa KUPPEt Paul Kimetto na Desmond Langat ambaye ni katibu wa KNUT katika kaunti hiyo wadai kuwa Bitok aleta marekebisho makubwa katika sekta ya elimu kwa mwaka mmoja .Hata hivyo wadai kuwa wazazi wengi wawachia walimu jukumu la kurekebisha tabia za watoto wakiomba wazazi hao washirikiane na walimu ili kuepekana na tabia zisizohitajika shuleni.