Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Linda Mwananchi watangaza kushiriki maandamano ya Juni 25 Maelezo:

  • | Citizen TV
    4,384 views
    Duration: 1:25
    Viongozi wa Linda Mwananchi sasa watangaza kuwa watajumuika na wakenya wengina katika maandamano ya kitaifa ya juni 25 kuwakumbuka waliouawa miaka miwili iliyopita kufuatia pingamizi za mswada wa fedha. Viongozi hao wakihotubia wananchi wamesema wameahirisha mikutano yao katika eneo la Gusii ili kushiriki maandaano hayo pamoja na wakenya na familia za walioathirika. Aidha viongozi hao wamekashifu serikali kuhusu utepetevu wa kutoa fidia kwa familia za vijana walioauawa huku wakishikilia kuwa ni sharti waliohusika katika mauaji ya vijana wabebe msalaba wao.