Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Mau Narok waitaka serikali kuwianisha miradi ya maendeleo

  • | KBC Video
    29 views
    Duration: 1:35
    Viongozi katika eneo la Mau Narok, Kaunti ya Nakuru, wameitaka serikali kuwianisha miradi ya maendeleo na mahitaji ya jamii za wenyeji, wakisema upanuzi wa madarasa unastahili kupewa kipau mbele badala ya kusambaza mabasi ya shule. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive