- 6,265 viewsDuration: 3:30ODM wamewahimiza wafuasi wao kote nchini kutoshiriki maandamano yaliyopangwa wiki ijayo. Katika mikutano tofauti iliyofanyika katika kaunti za Kwale na Homa Bay, viongozi wakuu wa ODM wakiongozwa na mwenyekiti Gladys Wanga pamoja na mawaziri kadhaa wamesema chama hicho kiko ndani ya serikali na tayari Rais William Ruto ameshaanza kutekeleza baadhi ya masuala yaliyowekwa mezani kwenye makubaliano ya “handshake”. Viongozi hao wamesisitiza kuwa ni muhimu kwa wafuasi wao kudumisha utulivu na kuunga mkono juhudi za serikali katika kutekeleza ajenda zilizokubaliwa. Stephen Leto o anaripoti zaidi.