- 1,483 viewsDuration: 1:23Viongozi wa ODM wamewakashifu viongozi wenzao wa Linda Mwananchi kwa kile wamekitaja kama kuwahadaa Wakenya ilhali wanatumika kisiasa. Viongozi hao, wakiongozwa na Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi na Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa, Junet Mohamed, aidha wametetea mpango wa kuwapiga jeki kina mama na vijana katika ngome za chama hicho, wakisema kuwa wameachwa nyuma kwa muda mrefu.