Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali wawarai wakazi Uasin Gichu kuendelea kumuunga mkono rais Ruto

  • | KBC Video
    259 views
    Duration: 3:47
    Baadhi ya viongozi wa upande wa serikali wamewarai wakazi wa kaunti yaUasin Gichu kuendelea kumuunga mkono rais William Ruto. Wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula, viongozi hao walipongeza rekodi ya utawala wa rais Ruto wakisema anastahili kupewa kipindi cha pili.Hayo yanajiri huku chama cha UDA kikitaka kusitishwa kwa kile ilichodai matumizi ya mahakama kutatiza miradi muhimu ya serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive