Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa UDA Marsabit wapigia debe ajenda ya maendeleo ya rais Ruto

  • | KBC Video
    210 views
    Duration: 1:43
    Wanasiasa wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza, wakiongozwa na wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung’wa na kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Aron Cheruiyot, wamehimiza jamii za wafugaji kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya rais William Ruto.Walikuwa wakiongea wakati wa hafla ya kuwawezesha kina mama katika eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive