Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wamkosoa Waziri Murkomen

  • | Citizen TV
    4,190 views
    Duration: 2:56
    Viongozi wa upinzani wameishutumu serikali kwa mchipuko wa makundi ya wahuni, wakikosoa uvamizi wa ijumaa katika kanisa la All Saints Cathedral hapa Nairobi. Viongozi hao wakiongozwa na Rigathi Gachagua na Kalonzo Musyoka wamemtaka waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kuwajibikia utovu wa usalama. Wamezungumza wakati wa ibada na mikutano ya kisiasa kaunti za Trans Nzoia na Bungoma.