Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wapinga ufadhili kuhusu Ebola

  • | Citizen TV
    710 views
    Duration: 2:27
    Viongozi wa upinzani kwenye kaunti ya Laikipia washikilia kwamba watapinga mapendekezo yoyote ya kenya kupokea fedha zozote kutoka Marekani ziwe msaada ama mkopo, iwapo zitatolewa kwa masharti kama vile ujenzi wa Karantini ya ebola nchini.