- 4,053 viewsDuration: 2:51Viongozi wa upinzani leo wamenadi umoja wa muungano wa upinzani na kupuuzilia mbali madai ya kusambaratika, wakisema kuwa ni tofauti za kimawazo na wala si mwisho wa uhusiano wao wa kisiasa. Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amewaomba wenzake kujiunga na Muungano wa Ukombozi. Melita Oletenges anaangazia yaliyojiri katika siasa za upinzani katika Kaunti za Kiambu na Nyanza.