- 1,921 viewsDuration: 1:43Huku zasalia siku mbili kabla ya maadhimisho ya mauaji ya vijana wa gen z yaliyotokea wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024, viongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wapinga maandamano yaliyopangwa kufanyika alhamisi. Wasema kuwa maandamano hayo yaweza kusababisha uharibifu wa mali, kuvuruga biashara na amani.