- 4,615 viewsDuration: 2:43Mbunge wa zamani wa Kilgoris na Waziri wa zamani wa Uhamiaji Gideon Sitelu Konchellah anaendelea kuombolezwa baada ya kufariki Jumamosi asubuhi. Konchella alifariki baada ya kupata mshtuko wa moyo alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi. Rais William Ruto amemtaja Mbunge huyo wa zamani kama kiongozi aliyeielewa kazi sake ya utumishi wa umma na kugusa maisha ya watu wengi.