15 Sep 2026 10:37 am | Citizen TV 216 views Duration: 1:47 Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka kaunti ya Nyamira wamemrai Rais William Ruto kuharakisha kutekelezwa kwa mfumo wa elimu ya bure nchini, ili kuwawezesha wanafunzi kutoka jamii masikini kupata elimu ya juu.