Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wanaomuunga mkono Ruto watabiri ushindi wake 2027

  • | Citizen TV
    2,097 views
    Duration: 2:55
    Viongozi wanaomuunga mkono Rais William Ruto wameutahadharisha muungano wa upinzani kujiandaa kwa kushindwa katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza katika hafla tofauti katika kaunti za Busia, Trans Nzoia na Nyamira, viongozi hao wameendelea kumpigia debe Rais Ruto kwa muhula wa pili. Chrispine Otieno na Mengi zaidi...