Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wanawake Homa Bay walalamikia mashambulizi wanapowania nyadhifa za uongozi

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 3:13
    Viongozi wanawake kutoka kaunti ya Homa bay bado wanazidi kueleza hofu yao ya mashambulizi na ghasia wanazoshuhudia kila mara wakijitokeza kuwania viti mbali mbali vya uongozi. viongozi hao wakisisitiza kuwa usawa na ulinzi wa kutosha lazima uwepo wakati huu ambapo joto la siasa linazidi kupanda.