Skip to main content
Skip to main content

Visa vya ukeketaji vyapungua mpakani Kenya-Tanzania

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:30
    Wakereketwa wapingao unyanyasaji wa mtoto msichana katika mpaka wa Kenya na Tanzania wasema kuwa ukeketaji wapungua kwa kiasi kikubwa.