Skip to main content
Skip to main content

Visa vya utekaji nyara Mombasa

  • | Citizen TV
    4,018 views
    Duration: 3:40
    Familia zaidi zinazowasaka wapendwa wao zimeendelea kujitokeza wakitaka serikali kueleza waliko wapendwa wao siku moja baada ya kuzinduliwa kwa kampeni inayolenga kukomesha visa hivyo kuzinduliwa huko mombasa. Familia ya salim hemed jamaa aliyetoweka mwaka wa 2014 bado inamsaka wakitaka majibu huku kila siku matumaini yakiendelea kudidimia