KUJIAJIRI, POPOTE ULIPO!
Wanafunzi katika chuo kikuu cha St. Paul’s wanatarajiwa kunufaika na mpango wa mafunzo mahsusi ya siku tano wa ujasiria mali Afrika ulioanzishwa kwa ushirikiano na chuo kikuu cha Handong cha Korea Kusini, unaonuiwa kukuza uvumbuzi na ujasiria mali kwa uwezo wa mfumo wa viumbe hao na mazingira.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive