2 Sep 2025 1:29 pm | Citizen TV 240 views Duration: 1:14 Wanafunzi wa vyuo vya kiufundi wametakiwa kukumbatia mtaala mpya unaoshirikisha utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.