Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa maandamano waipokea kwa matumaini fidia ya Sh2 bilioni

  • | Citizen TV
    996 views
    Duration: 4:01
    Waathiriwa wa maandamano wamechangamkia fidia ya shillingi billioni mbili iliyoratibiwa na kamati ya wataalamu, wakisema itasaidia kwa kiasi kugharamia matibabu na mahitaji ya kila siku kwa waliopoteza kazi zao. Japo wanasisitiza kuwa sharti waliowadhulumu wachukuliwe hatua za kisheria, waathiriwa na familia za waliopoteza maisha kwenye maandamano wanasema kuwa japo fidia hiyo haitarejesha maisha wala kufuta makovu ya majeraha, angalau wataweza kupiga hatua za maisha yaliyokuwa yamekwama kabisa.