Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wa upinzani wataka serikali kufanya uchunguzi wa kina kuhusu moto katika soko la Gikomba

  • | Citizen TV
    455 views
    Duration: 1:18
    Wabunge wa upinzani jijini Nairobi wataka serikali kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na visa vya moto katika soko la Gikomba iliyosababisha vifo vya watu wawili. Kupitia taarifa iliyosomwa na mbunge wa Embakasi North James Gakuya, watilia shaka visa hivi wakidai kuwa licha ya mioto ya mara ya kwa mara hakujakuwa na taarifa kamili kuhusu vyanzo vya moto hali inayowaacha maelfu ya wakenya wakikadiria hasara ya mamilioni ya pesa.