- 879 viewsDuration: 2:15Wabunge wanawake kutoka serikali ya muungano wameendeleza kampeni za kumuunga mkono Rais William Ruto kwa muhula mwingine wa uongozi, wakisisitiza kuwa rekodi yake ya utendakazi inampa nafasi kubwa ya kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu ujao.