- 211 viewsWabunge wa bunge la kitaifa wapitisha mswada fedha wa mwaka wa 2026 baada ya kuupigia kura. Kulikuwa na mjadala mkali bungeni hapo awali baina ya wabunge wanaounga mkono serikali na wale wa upinzani, kuhusu vipengele tata vya mswada huo vikizua ubishi. kipengele cha kuongeza ushuru wa simu chaondolewa.