- 1,513 viewsDuration: 1:41Wabunge wametofautiana bungeni kuhusu baadhi ya mapendekezo ya marekebisho katika sheria za uchaguzi nchini, ikiwemo ukaguzi wa orodha ya wapiga kura waliosajiliwa na masharti ya uteuzi wa wawakilishi kupitia orodha za vyama vya kisiasa katika mabunge ya kaunti. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya