- 4,005 viewsDuration: 2:09Wachekeshaji watano kutoka Kaunti ya Embu wameanza safari ya kilomita 135 kwa miguu kuelekea jijini Nairobi, katika juhudi za kuishinikiza serikali kuongeza kasi ya operesheni dhidi ya utengenezaji na uuzaji wa pombe haramu na bandia ambazo zimetajwa kusababisha vifo na kuvunja familia.