- 258 viewsDuration: 1:39Ni afueni kwa wachimba madini katika Taita Taveta kaunti baada ya kampuni moja ya uchimbaji wa madini ya chuma kuanza kusafirisha madini hayo hadi kwenye mtambo ulioko eneo la Manga. Hatua hiyo inatarajiwa kuimarisha shughuli za uchimbaji, kuongeza ajira na kuinua uchumi wa wakazi wanaotegemea sekta hiyo.