- 651 viewsDuration: 1:49Wadau wa elimu pamoja na viongozi wa dini huko Malindi wamewataka wanafunzi na wazazi kote nchini kukumbatia mila bora na maadili mema katika jamii ili kuimarisha nidhamu na kudumisha utangamano wa kitaifa. Wamesema malezi bora na kuhifadhi tamaduni chanya ni muhimu katika kujenga jamii yenye uwajibikaji na mshikamano.