9 Nov 2026 10:11 am | Citizen TV 259 views Duration: 1:51 Baadhi ya wadau wa elimu wa kaunti ya taita taveta wametoa changamoto kwa viongozi wa kaunti kuangazia mikakati ya kuimarisha elimu kwa shule za upili kwani kiwango cha elimu kimeendelea kushuka katika kaunti hiyo.