- 840 viewsDuration: 1:50Wadau katika sekta ya elimu wametoa maoni toufauti kuhusu adhabu ambayo wanafunzi watundu wanapaswa kupewa shuleni. Baada ya kuwasilisha mapendekezo yao mbela ya kamati ya elimu ya bunge, wadau hao wapenga vikali kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni, wakidai kuwa inakiuka haki ya mtoto katika katiba.