6 Nov 2026 10:13 am | Citizen TV 275 views Duration: 1:21 Washikadau wa Sekta ya utalii nchini wanaitaka serikali kuweka mikakati zaidi ya kuimarisha usalama, kuboresha miundombinu na kupunguza mzigo wa kodi ili kuongeza ushindani wa Kenya kama kitovu cha utalii duniani.