4 Nov 2026 10:37 am | Citizen TV 753 views Duration: 1:51 Wafanyabiashara katika mji wa Embu wameitaka serikali kuhakikisha kuwa nafasi za biashara katika soko la kisasa la Embu zinagawiwa kwa haki na uwazi.