Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Nairobi walalamika kufungwa kwa simu za malipo polepole

  • | Citizen TV
    21,892 views
    Duration: 2:22
    Mamia ya wafanyibiashara jijini Nairobi walivamia ofisi za kampuni moja ya kuuza simu za malipo ya polepole wakidai kuhangaika baada ya simu zao kuzimwa. Wanasema kuwa wamekuwa wakilipia simu hizo ila ghafla ziliacha kufanya kazi.Wafanyibiashara hao wanalalamikia hasara kwani wateja wao hawana njia ya kuwasiliana nao.